Skip to main content
Skip to main content

Mashindano ya punda yaingia katika hatua ya nusu fainali Lamu

  • | NTV Video
    1,249 views
    Duration: 3:50
    Ni siku ya pili ya tamasha za utamaduni wa Lamu makala ya 24. Hii leo mashindano ya punda yameingia katika hatua ya nusu fainali, vijana barobaro wakijitokeza kwa wingi kushiriki kabla ya fainali ya kukata na shoka hapo kesho. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya