21 Nov 2025 1:56 pm | Citizen TV 464 views Duration: 1:12 Vilabu vya FKF kutoka ukanda wa mashariki vimepitisha mpango wa kuwa na ligi ya jumla maarufu kama Conference League kwenye mapendekezo yanayoendelea kutolewa kote nchini.