- 570 viewsDuration: 3:06Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa kaskazini na kusini mwa bonde la ufa wanalalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao baada ya kuwasilisha maziwa katika kampuni ya the new KCC. Wakulima hao wanadai zaidi ya shilingi milioni mia tatu ambazo hazijalipwa kwa miezi minne sasa. Baadhi ya wakulima hao wamezamia shughuli zingine za kilimo ili kupata pesa za kujikimu