Skip to main content
Skip to main content

Kampeni za Uchanguzi Ndogo Mbeere I Kindiki ampigia debe Wamuthende

  • | KBC Video
    224 views
    Duration: 1:56
    Chama cha United Democratic Alliance UDA kimeimarisha kampeni zake katika eneo bunge la Mbeere kaskazini huku likielekea kwenye uchaguzi mdogo. Katika juhudi za kutfuta uungwaji mkono wa Leo Wamuthende, naibu rais Prof. Kithure Kindiki aliongoza ujumbe wa wabunge, waakilishi wadi na viongozi wa eneo hilo kumpigia debe Wamuthende. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive