Mtihani wa kidato cha nne -KCSE ulikamilika jana, huku wizara ya elimu ikisema kuwa, visa vya udanganyifu vilipungua ikilinganishwa na mwaka uliopita. Katika taarifa, wizara hiyo imefichua kuwa wanafunzi 418 waliripotiwa kuhusika katika udanganyifu ikilinganishwa na idadi ya wanafunzi 614 mwaka jana.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive