- 145 viewsDuration: 3:35Shirika la Msalaba Mwekundu nchini kwa ushirikiano na kamati ya kimataifa ya Msalaba Mwekundu ziliandaa mazoezi makubwa ya hali ya dharura katika kaunti ya Garissa kutathmini hali ya kujiandaa ya kaunti hiyo katika kushughulikia dharura inayohusisha idadi kubwa ya waathiriwa. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa za magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive