- 2,142 viewsDuration: 2:52Hofu imegubika jamii zinazoishi maeneo ya Ziwa Baringo na Bogoria, baada ya maji ya maziwa haya kujaa na kuanza kushikana. Wataalam wanaonya hatari kutokana na hali hii ambayo tayari imeanza kusababisha hasara kwa jamii zinazoishi eneo hili.