23 Nov 2025 7:41 pm | Citizen TV 581 views Duration: 1:48 Timu ya kenya imeongeza medali zake kwenye michezo ya deflympics inayoendelea jijini tokyo hadi 10, ambapo lucas wandia na elikana rono walitetea taji lao kwenye mbio za mita 3000 kuruka viunzi na 800 mtawalia.