Watu watatu wa familia moja waliofariki mtaani Saika, kaunti ya Nairobi wamezikwa kwenye hafla iliyogubikwa majonzi huko Nzeluni katika eneo bunge la Mwingi Magharibi, kaunti ya Kitui. Watatu hao wanajumuisha Justus Wambua, ambaye alidaiwa kujitoa uhai, mkewe pamoja na binti wao. Viongozi waliozungumza kwenye hafla hiyo walitoa wito wa uchunguzi na juhudi zaidi ili kukabiliana na vifo vinavyozidi kuongezeka vinavyohusiana na matatizo ya afya ya akili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive