- 4,899 viewsDuration: 5:35Rais William Ruto ameondolea mbali hofu kuhusiana na uwezekano wa mzozo wa kidiplomasia baina ya Kenya na Uganda kuhusiana na kutumia bahari ya Hindi. Akizungumza huko Tororo nchini Uganda, wakati wa hafla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha vyuma cha Devki rais aliihakikishia nchi hiyo ya Afrika mashiki isiyo na bandari kwamba inaweza kutumia bahari ya Hindi na kuahidi ushirikiano zaidi katika biashara na ustawi wa muundo msingi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive