- 202 viewsDuration: 1:48Kampeni za kisiasa zilichacha hivi leo huku zikiwa zimesalia siku tatu pekee kabla ya kuandaliwa kwa chaguzi ndogo. Viongozi wa kisiasa walikita kambi kwenye maeneo bunge na wadi mabalimbali kuwapigia debe wagombea wao huku baadhi wakiwa makanisani kuwarai waumini kuwapigia kura wagombezi wao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive