Kijana anayeishi kwa kunyumbulisha mwili

  • | BBC Swahili
    454 views
    Kutana na kijana wa Gabon Jaures Kombila ambaye aligundua kuwa anaweza kuuchezesha mwili wake vyovyote vile anavyotaka akiwa na umri wa miaka 7. Licha ya unyanyapaa na kejeli, ameboresha ujuzi wake na ameanza kujidhihirisha kama mtaalamu wa kunyumbulisha mwili wake katika mitandao ya kijamii. Sasa ana ndoto ya kusafiri kote ulimwenguni. #bbcswahili #gambia #vijana