Je, wanawake wanakuwa na hasira zaidi ya wanaume?

  • | BBC Swahili
    487 views
    Ulimwenguni kote wanawake wanaripotiwa kuwa na huzuni zaidi, msongo wa mawazo, wasiwasi na hasira zaidi kuliko wanaume. - Katika msimu wa Wanawake 100 wa BBC, utafiti wa miaka 10 wa Gallup World Poll, uliochunguza zaidi ya watu 120,000, uligundua kuwa, ingawa hisia hasi zipo kwa kila mtu, kwa wanawake ni zaidi hasa linapokuja suala la hasira. #bbcswahili #wanawake100bbc #wanawake