- 857 viewsMwanakijiji kutoka Uganda, Musa Hasahya Kasera, anasema familia yake kubwa inajumuisha wake 12, watoto 102 na wajukuu 578. “Nimekuwa na matatizo mengi, kutafuta fedha za karo ya shule, kutoa chakula kwa kila mtu, kutafuta nguo na fedha za kusaidia endapo mtu anaumwa,” alisema mzee wa miaka 68 ambaye alipendekeza wake zake wachukue vidhibiti vya uzazi ili familia yao iache kukua. Kuoa wake wengi ni halali nchini Uganda, nchi yenye viwango vya juu zaidi vya kuzaliwa duniani, ambapo ni asilimia 50 tu ya wanawake wanapata udhibiti wa kisasa wa uzazi, kulingana na UN Women. "Alipoleta mwingine (mke), nakumbuka nilijisikia vibaya sana na hasira. Lakini baada ya muda nilizoea yote," alisema mke wa tatu wa Masa, Zabina Hasahya. #bbcswahili #uganda #familia
Musa Hasahya Kasera: 'Nina wake 12, watoto 102 na wajukuu 568'
- - Duniani Leo ››
- - 🔴LIVE | NEWS NOW ››
- 25 Nov 2024 - She was allegedly attacked by her estranged lover at her rented apartment at Olive Inn in Kiamunyi on Thursday evening.
- 25 Nov 2024 - Observers argue President Ruto needs Raila's backing to avoid being ousted after one term.
- 25 Nov 2024 - Walkouts, weak deals and COP29 failures
- 25 Nov 2024 - This follows a series of intense sessions held across six counties, where Kenyans expressed concerns about the use of tax revenue and the persistence of corruption.
- 25 Nov 2024 - The summons, which requires a response within 21 days, targets Adani Group Chairman Gautam Adani and his nephew, Sagar Adani, for their alleged involvement in facilitating hundreds of millions of dollars in bribes.
- 25 Nov 2024 - Treasury and COG; Who is saying the truth on disbursement?
- 25 Nov 2024 - Questions raised about SHA deal after Ruto move on Adani projects
- 25 Nov 2024 - Cancellation of Adani's deals and the President's piling troubles
- 25 Nov 2024 - Femicide a concern as 16 Days of Activism against GBV begin
- 25 Nov 2024 - It's time for Ruto to prove governance prowess