Kamishna wa IEBC Irene Masit apendekezwa kuondolewa katika tume hiyo

  • | West TV
    67 views
    Baada ya kuteuliwa kufanya uchunguzi dhidi ya madai kwamba Makamishena wanne wa tume ya IEBC walikiuka sheria na maadili ya kazi yao, sasa jopokazi linaloongozwa na Jaji Aggrey Muchelule limependekeza kuondolewa kwa kamishna Irene Masit kutoka kwa tume hiyo.