Wabunge kutoka maeneo kame wataka serikali isambaze shilingi 10B kukidhia wahanga wa baa la njaa

  • | KBC Video
    63 views

    Wabunge kutoka maeneo kame humu nchini wanataka serikali isambaze shilingi bilioni-10 kukidhia wahanga wa baa la njaa. Wakiongea bungeni, wabunge hao walitoa wito wa kuondolewa kwa urasimu katika usambazaji wa fedha hizo wakidai kuwa wananchi wanapoteza mbinu za kujikimu wakisubiri msaada huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #ukame #News #baalanjaa