Rais wa Uturuki atoa fununu juu ya kufanyika uchaguzi Mei 14, 2023

  • | VOA Swahili
    336 views
    Rais wa Uturuki amegusia kuwa uchaguzi utafanyika Mei 14, 2023 akisalia na mpango wake wa zamani akitaka upigaji kura kufanyika siku hiyo. Ungana na mwandishi wetu akileta maelezo ya zoezi hilo la uchaguzi lenye ishara ya mkanganyiko. Endelea kusikiliza... #rais #uturuki #uchaguzi #mpango #upigajikura #mkanganyiko #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.