Waziri Ezekiel Machogu azuru Kisii kukagua hali ya masomo haswa kwa wanafunzi wa sekondari Msingi

  • | Citizen TV
    504 views

    Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu pamoja na maafisa wa elimu kaunti ya Kisii wanakagua hali ya masomo haswa kwa wanafunzi wa sekondari Msingi na wale waliojiunga na kidato cha kwanza. Waziri wa elimu Ezekiel Machogu amesema kuwa mpaka sasa asilimia 96% ya wanafunzi wa sekondari msingi wamekwisha wasili katika shule zao huku machifu na manaibu wao wakihimizwa kushirikiana kuwatafuta wanafunzi ambao bado hawajajiunga na shule walizoitwa.