Gavana Simba Arati aongoza wakuu wa wizara mbalimbali kufadhili wanafunzi 110 kutoka familia maskini

  • | Citizen TV
    1,085 views

    Gavana wa Kaunti ya Kisii Simba Arati ameongoza wakuu wa wizara mbalimbali kaunti hiyo kufadhili wanafunzi 110 kutoka familia maskini kujiunga na kidato cha kwanza. Viongozi wa Kaunti hiyo wakiwemo mawaziri wakijitolea kuchukua angalau mtoto mmoja ili kufanikisha ndoto zao za elimu ya shule ya upili.