Total yaeleza hatua za tahadhari inazochukua kulinda mazingira

  • | VOA Swahili
    72 views
    Ripoti ya 2018 ya Tathmini na athari za mazingira kampuni za mafuta zilibaini aina 32 za athari zinazoweza kutokea kwa wanadamu na wanyama pori. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ufafanuzi uliyotolewa na wataalam wa mazingira na wachimbaji mafuta kuweza kupunguza athari hizo... #wataalam #mazingira #kampuni #mafuta #kampuniyatotal #wanadamu #athari #wanyamapori #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.