Wachezaji 5,000 kushiriki katika toleo la tatu la NCBA 'golf series'

  • | Citizen TV
    214 views

    Toleo la tatu la msururu wa gofu wa NCBA mwaka wa 2023 limezinduliwa leo katika klabu ya gofu ya railways Nairobi. Msururu huo ambao ulizinduliwa kwa mara ya kwanza mwaka 2021 utashirikisha wachezaji elfu tano, ongezeko la wachezaji elfu mbili kutoka wachezaji walioshiriki mwaka jana.