Lourencona na Macron wafanya mazungumzo kuimarisha ushirikiano

  • | VOA Swahili
    369 views
    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron awasili Luanda, Angola, ambapo alikutana na mwenyeji wake Rais Joao Lourençona kuzungumzia masuala ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kamili ya ziara hiyo na vipi nchi hizo mbili zitaweza kuimarisha ushirikiano huo. #rais #ufaransa #emmanuelmacron #luanda #angola #ushirikiano #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.