Mchezaji wa timu ya Ufaransa afunguliwa mashtaka ya ubakaji

  • | VOA Swahili
    75 views
    Mchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Paris Saint-Germain Achraf Hakimi nchini Ufaransa amefunguliwa mashtaka ya tuhuma za ubakaji kwa mujibu wa mwendesha mashtaka. Uchunguzi wa awali ulifunguliwa dhidi ya mchezaji huyo wiki iliyopita baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 23 kwenda polisi kwa shauri la ubakaji. Endelea kusikiliza hatma ya mashtaka hayo... #mchezaji #safuyaulinzi #timu #ufaransa #mashtaka #ubakaji #mwendesha mashtaka #polisi #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.