Patricia Hillary: Afisa wa jeshi mstaafu, nguli wa taarabu asilia Tanzania

  • | BBC Swahili
    999 views
    Katika nyota ya Afrika Mashariki tunamuangazia Patricia Hillary, mmoja wa wanamuziki mkongwe wa taarabu asilia nchini Tanzania. Katika zaidi ya miaka 40 ya uimbaji wake Patricia Hillary sauti yake bado ina nguvu na mvuto masikioni mwa wapenzi wa muziki huo wa mwambao. Je nini siri ya sauti yake kuendelea kuwa na mvuto? mwandishi wa BBC Veronica Mapunda alikutana naye na kuzungumzia hili 🎥 @eagansalla_gifted_sounds_ #bbcswahili #tanzania #taarabu