Chama cha UDA kimeanza kuwanyakua viongozi wakuu wa ODM Busia

  • | West TV
    182 views
    Aliyekuwa mwakilishi wa kike wa kaunti ya Busia Bi. Florence Mutua, Naibu mwenyekiti wa ODM Busia Patrick Obongoya, Katibu Mkuu Innocent Oluku na viongozi wengine wa chama hicho katika kaunti ya Busia wamekigura na kujiunga chama tawala cha UDA