Afisi ya wizara ya ardhi ya Trans Nzoia imefungwa kwa tuhuma za ulaghai

  • | West TV
    254 views
    Afisi za Wizara ya ardhi kaunti ya Trans nzoia zimefungwa kwa majuma mawili kufanikisha uchunguzi wa ulaghai na utapeli unaotekeleza na baadhi ya maafisa wa wizara hiyo ambao umechangia mizozo ya ardhi kaunti hyo.