Waziri wa Afya nchini Susan Nakhumicha akerwa na hali duni ya Hospitali ya Matunda Kiminini

  • | West TV
    75 views
    Waziri wa afya nchini Susan Nakhumicha ameelezea kusikitishwa kwake na huduma mbovu katika hospitali ya level four ya Matunda eneo bunge la Kiminini akitaka Gavana wa kaunti iyo George Natembeya kukaza kamba kuimraisha afya.