Mama wa familia yenye matatizo ya ulemavu wa akili ajengewa nyumba Kibingei

  • | West TV
    299 views
    Mama mmoja mwenye umri wa miaka 63 katika kijiji cha Saenyi wadi ya Kibingei eneo bunge la Kimilili anapitia wakati mgumu kila kuchao kutokana kujaliwa wanawe wawili na mjukuu wote wakiwa na changamoto za kiakili. Kulingana na Mama huyo, mumewe pia aliathirika na ugonjwa huo.