Mashirika ya kijamii yamejitokeza kutaka kuhusishwa kwa mdahalo wa kitaifa

  • | West TV
    50 views
    Huku mazungumzo ya maridhiano kati ya mrengo wa serikali ya kenya kwanza na mrengo pinzani wa azimio yakikumbwa na vuta nivute kati ya mirengo hiyo, sasa mashirika ya jamii yamejitoza kwenye mjadala huo yakitaka mazungumzo hayo yapanuliwe na kuwahusisha wakenya wa kawaida na kuandaliwa nje ya bunge la taifa.