Kuna zaidi ya bunduki bilioni moja duniani zinazomilikiwa na raia.

  • | BBC Swahili
    397 views
    Wakati matukio ya ufyatuliaji watu risasi nchini Marekani yakichukua vichwa vya habari, BBC inaangazia ni nchi zipi ambazo zina silaha nyingi zaidi, zinazotengeneza silaha nyingi zaidi na kuteseka zaidi kutokana na uhalifu wa kutumia bunduki. #bbcswahili #marekani #udhibitiwasilaha