Makampuni ya udhamini wa Ligi Kuu Uingereza yanavyotapeli mashabiki wa soka

  • | BBC Swahili
    496 views
    Uchunguzi wa BBC Eye umegundua kuwa asilimia 40 ya timu za sasa za Ligi Kuu ya Uingereza zimetia saini mikataba ya udhamini na kampuni zinazoshukiwa kuwa ni za kitapeli katika kipindi cha miaka saba iliyopita. Makampuni haya ya uwekezaji yametumia mikataba ya udhamini kuwashawishi wateja kwamba wanaheshimika, na kusababisha hasara ya mamilioni kwa waathiriwa ulimwenguni kote. Kampuni hizo zimetozwa faini kubwa, zimepigwa marufuku au zinachunguzwa na wadhibiti wa fedha au polisi. #bbcswahili #uingereza #ligikuuuingereza