'Watu wanavua samaki lakini mimi navua chuma'

  • | BBC Swahili
    956 views
    Kwa takriban miaka 35, Ganguly Sarkar amekuwa akikusanya vyuma mtoni kwa kutupa sumaku kwenye mto Buriganga huko Dhaka, Bangladesh. Anakusanya kilo 5 hadi 10 za chuma kutoka mtoni kila siku, lakini hafurahii kazi yake tena kwa sababu ya uchafuzi wa mto. #bbcswahili #bangladesh #vyumachakavu