Mwanamke wa miaka 30 ajifungua Pacha wanne katika hospitali ya St Marys Mumias

  • | West TV
    1,994 views
    Mama mwenye umri wa miaka 30 anazo kila sababu ya kutabasamu baada ya kujifungua watoto wanne wenye afya nzuri katika hospitali ya St.Marys Mumias.