Wawakilishi wadi wa Busia waingia kaunti ya Siaya kuwasaidia walioathirika na Mafuriko

  • | West TV
    138 views
    Kutokana na uharibifu wa mimea na kukosesha makazi wenyeji wa wadi za Bunyala kusini na kati katika eneo bunge la Budalangi kaunti ya Busia, na hata sehemu za eneo bunge la Alego Usonga kaunti ya Siaya, kutokana na mafuriko ya maji kutoka ziwa Kanyaboli lililovunya kingo zake, wawakilishi wadi wawili kutoka Busia,wamelazimika kuenda kukarabati kingo hizo katika kaunti ya Siaya, viongozi wa hapo wakikosa kuonekana licha ya kujulishwa.