Sarrai Group inatuhumiwa kuendeleza shughuli zake Mumias Sugar licha ya amri ya Mahakama

  • | West TV
    286 views
    Hata baada ya mahakama kumuamuru mwekezaji katika kiwanda cha kusaga miwa cha mumias Sarrai Group kuondoka kwenye kiwanda hicho, mwekezaji huyo amepuuza uamuzi huo na bado anaendelea na shughuli zake katika kiwanda hicho.