Familia ya Kijana Mlemamvu sasa inaomba msaada baada ya kulemewa na uzito wa maisha

  • | West TV
    135 views
    Familia moja katika kijiji cha Esikulu, Bukhayo Magharibi katika eneo bunge la Matayos kaunti ya Busia inaomba wahisani kumsaidia mwanao Dennis Okumu mwenye miaka 16 na ambaye ameishi na ulemavu tangu utotoni.