Mahakama ya Rufaa imedinda kusikiliza ombi la Sarrai Group kutaka kusalia Mumias Sugar

  • | West TV
    100 views
    Mahakama ya Rufaa jijini Nairobi ilikataa kuskiza kesi ya rufaa iliyowasilishwa mahakamani humo na kampuni ya Sarrai Group Limited kuendelea kufanya shughuli katika kiwandacha sukari cha Mumias na kutopelekwa gerezani kwa kupuuza amri ya mahakama.