Msukumo wa kusafisha KEMSA kuhusu Malaria haujawekwa wazi

  • | West TV
    32 views
    Wadau kutoka sekta ya afya ya umma nchini sasa wanamtaka waziri wa afya Susan Nakhumicha kushirikiana na sekta zingine ambacho zimetwikwa jukumu la kushughulikia swala la kudhibiti malaria nchini kuhakikisha kwamba vyandarua ambavyo vitaagizwa vitakuwa vyenye kuidhinishwa na shirika la afya duniani who licha ya kuwepo kwa utata unaozingira zabuni ya uagizaji wa vyandarua hivyo awali na kusababisha kutimuliwa kwa katibu katika wizara ya afya Josephine Mburu.