Wagonjwa wa saratani Trans Nzoia walalamikia kutopata huduma za afya karibu nao

  • | West TV
    36 views
    Wagonjwa wa saratani kaunti ya Trans Nzoia wamelalamikia kupitia wakati mgumu kutafuta huduma maalumu za matibabu na kutoa wito kwa serikali ya kaunti hiyo kuwekeza kwenye vifaa vya matibabu kuwaondolea mzigo wa gharama ya huduma hizo