Wagonjwa sasa kupata huduma za NHIF baada ya serikali kuwasilisha fedha

  • | West TV
    45 views
    Waziri wa Afya nchin Suzan Nakhumicha ametangaza kuwa wizara ya fedha imetoa fedha kwa hazina ya bima ya afya NHIF, hii ni baada ya Waziri huyo kutangaza kuwa serikali imefilisika na haingeweza kuwalipia wagonjwa waliokuwa wanaotegemea bima hio