KMPDU limefutilia mbali leseni za hospitali zilizotajwa kuhusika kwa kulaghai bima ya NHIF

  • | West TV
    14 views
    Huku wizara ya afya ikiendelea na uchunguzi wa sakata ya ufisadi katika hazina ya kitaifa ya bima ya NHIF ambapo wagonjwa walilaghaiwa katika hospitali kadhaa katika eneo la mlima kenya na Nairobi, sasa baraza la madaktari na wataam wa meno nchini KMPDU imefutilia mbali leseni za hospitali zilizotajwa kwenye sakata hiyo huku likiendeleza uchunguzi wake pia.