Waziri wa Afya Susan Nakhumicha ameapa kutolegeza kamba kufukua uovu kwa sekta ya Afya

  • | West TV
    84 views
    Waziri wa afya nchini Susan Nakhumicha ameapa kamwe hatalegeza kamba kufukua maovu katika sekta ya afya wala kukubali kutishiwa na matapeli hadi Wakenya wapate haki