Seneta Okiya Omtata kukabiliana na serikali mahakamani kuhusu sheria ya kifedha 2023 24

  • | West TV
    75 views
    Siku moja tu baada ya mahakama kuu ya milimani jijini Nairobi kusitisha kwa muda utekelezwaji wa sheria ya mswada wa fedha, sasa mwasilishaji wa kesi hiyo ambaye pia ni Seneta wa Busia Andrew Okiyah Okoit Omtatah anataka kesi hiyo kusikizwa na majaji watatu ama watano ili iharakishwe