Skip to main content
Skip to main content

Hali ya magereza kaunti ya Kilifi

  • | KNA Video
    36 views
    Duration: 2:43
    Jumanne Septemba 10, 2025 KNA na Stephen Mrira Kamati ya bunge kuhusu uangalizi na utekelezaji wa katiba yatembelea magereza ya Kilifi na Malindi Katika juhudi za kuimarisha huduma za magereza nchini, kamati ya bunge la kitaifa kuhusu uangalizi na utekelezaji wa katiba ikiambatana na naibu kamishna wa magereza nchini wametembelea magereza ya Malindi na Kilifi.