Viongozi wa Azimio walazimika kutoroka baada ya kutimuliwa mjini Busia

  • | West TV
    285 views
    Maandamano ya mrengo wa azimio yametibuliwa mjini Busia na maafisa wa polisi na wananchi waliodinda kuyashiriki. Viongozi wa mrengo huo wakiongozwa na naibu kinara wa ODM Wyclife Oparanya, mbunge wa kaunti ya Busia Catherine Omanyo na kinara wa chama cha roots party George Wajakoya wakilazimika kutorokea usalama wao walipokumbana na upinzani huo