Waziri wa usalama Kithure Kindiki amewaonya wanaopanga na kufadhili maandamano

  • | West TV
    36 views
    Siku moja tu baada ya taifa la kenya kushuhudia maandamano ya upinzani yaliyosababisha uharibifu, majeruhi na hata vifo kwa wakenya wa tabaka mbalimbali, sasa waziri wa usalama Profesa Kithure Kindiki amepiga marufuku maandamano nchini.