Tanzania miongoni mwa nchi 5 kutokomeza ukimwi ifikapo 2030

  • | BBC Swahili
    836 views
    Ni nini kimesaidia nchini tano za Afrika Tanzania, Botswana, Eswatini, Rwanda, na Zimbabwe kupiga hatua katika kudhibiti maambukizi ya virusi vya ukimwi? Kwa mujibu wa UNAIDS nchi hizi zimefikia lengo la '95-95-95' Je ufanisi huu wa kudhibiti maambukizi ya virusi vya Ukimwi umetokana na nini hasa? Elizabeth Kazibure anaelezea #bbcswahili #ukimwi #UNAIDS