11 Sep 2025 1:31 pm | Citizen TV 805 views Duration: 1:48 Moto mkubwa umeteketeza eneo la kuuzia mbao katika eneo la Milenium huko Diani Kaunti ya Kwale na kusababisha hasara kubwa usiku wa kuamkia leo.