- 169 viewsDuration: 2:32Kaunti ya Pokot Magharibi imepiga hatua kubwa katika huduma za kutoa chanjo kwa watoto walio chini ya miaka mitano kupitia ushirikiano wa serikali ya kitaifa, wadau wa maendeleo na jamii. Lengo kuu ni kupunguza vifo vinavyosababishwa na magonjwa yanayoweza kuzuilika kupitia chanjo. Collins Shitiabayi Na taarifa hiyo