11 Sep 2025 1:45 pm | Citizen TV 674 views Duration: 1:43 Wahudumu wa bodaboda mjini nanyuki wanaomiliki pikipiki zinazotumia nguvu za umeme wamelalamikia kulaghaiwa na mfanyabiashara mmoja aliyewauzia pikipiki ambazo hazihifadhi chaji kwa muda aliosema.